
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo Aprili 4, 2012.


Wanahabari wakiwajibika wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza Baraza la Mawaziri leo Aprili 4, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda baada ya kutangaza Baraza la Mawaziri leo Aprili 4, 2012.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment