Saturday, May 5, 2012

'NDONDI ZA UZITO WA JUU ZIKIUNGURUMISHWA'


Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na Charo Issa wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika Dar es salaam juzi Charo alishinda kwa point.


Bondia Mohamed Amir 'Macho' kulia akioneshana ufundi wa kutupa makande na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.


Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makande na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...