Monday, April 2, 2012

CHEKA AKIJIFUA

Cheka (kushoto) akiwa katika mazoezi na kocha wake, Komandoo.

....Akiwa katika gym akitafuta stamina zaidi.

Mazoezi mtindo mmoja!Akikabiliana na 'punch bag'.

MALARIA imemkumba bondia Francis Cheka wa Morogoro wakati ambapo anakaribia kupambana na bondia Mada Maugo wa Dar es Salaam Aprili 28 katika ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, mtandao huu ulipomtembelea Cheka kwenye mazoezi yake katika gym ya Simba Oil, katika Manispaa ya Morogoro, alisema mashabiki wake wasiwe na wasiwasi na hali hiyo kwani atakuwa fiti kukabili jukumu hilo ambapo mshindi ataondoka na gari la kifahari.





No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...