TABIA HII YA UKEKETAJI ITAKOMESHWA LINI?
NDUGU Watanzania wenzangu, Serikali yetu imekuwa ikikemea suala hili la ukeketaji kila kukicha lakini cha ajabu na kushangaza bado kuna baadhi ya makabila yanaendeleza mira hii. Swali la msingi na lakujiuliza kwa wote nani ataweza kukomesha tabia hii ikaachwa mara moja ???
No comments:
Post a Comment