SOMA MANENO YA MWANA HIP HOP ROMA
Ukitaka kujua kuwa kuna sehemu mziki wa HIP HOP haupewi nafasi bus panda mabus ya mikoani....yani hata yale yaendayo ARUSHA Na MWANZA wanapopaita kwa wanahip hop pia wapo! Kinachotokea ni unakuta...kwenye screen za kwenye bus ukisafiri iende irudi utachezea bongo muvie, ngoma za kuimba, gospel, comedy...bhaaas...na mara chache muviez za mijegeje zile dushwaaa dushwaaa comando kipensi....
Ukitoka ubungo pale...fasta wanaweka colection ya video za bongo....basi anaanza A.T pale Vifuu tundu, anakuja A.T tena cjui Bao la kete, mara Linex Moyo wa subira, halafu Dushelele, best naso nauza mkaa cjui ile huikosi, Diamond, Belle 9, Barnaba na t.h.t woote wataguswa apo, halafu kidooogo wanaweza wakamkumbuka Chidi Beenz but katika ile ngoma alioimba na Mzee Yusuph, then goma linarud tena kwa Sam wa ukweli, Hakunaga ya Suma, mara Shilole, Off Side Trick, yan hapo humckii Kala Pina, Roma na kavideo kake kale, huckii Joe Makini, Play boy Niki Mbishi, Godzila, Fid Q, Nako 2 Nako wala Prof Jay wala Mwana FA...aah nimewasahau Tip Top nao wanakula sana mashavu na Dogo Asley,
thn wakitoa cd hiyo utackia GAME 1st Quality wanakuletea....unajua Kanumba uyo anaanza...apo utaona...DJ Ben, cjui Aunt Ezekiel, Uwoya cjui nani Mtambalike...wakitoka hao...majuto anatisha apo....wakitoa hiyo kinakuja kitu cha gospelz...khaaa hapo naitafta mbeya hapo mfano ndo tupo kitonga bt cjajiona videoni wala riziwani cjamckia wala king zila....maraaa mzee yusuph na isha mashauz...daaah af c.unajua zilivo ndefu taarab...ayah...ikitoka hiyo utaona the god must be crayz bush men, mfano ikitokea cd imegoma....tu...utackia goma linaanza tena kwa A.T na kina shilole....na best naso!! Sasaa nini mbaya apa jaman..?ni kuwa cc hatutoi sn video, hazina kiwango....au niaje niaje? Hebu pandeni mabus mtaliona hili....
Habari/Picha: Bongo Star Link Blog

No comments:
Post a Comment