Tukio zima la Ajali mbaya la basi la Prince Muro iliyotokea jana Usiku maeneo ya Senjele likielekea Tunduma. Mwendo kasi ndio chanzo cha ajali hiyo mtu mmoja amefariki na wengine 14 ni majeruhi
Majeruhi ambao wamenusurika katika ajali hiyo mbaya wamesema kwamba dereva huyo alikuwa mwendo kasi tangia walipo fika mikumi, Wameendelea kudai kwamba walimpa onyo mala kadhaa lakini hakuweza kuwasikiliza na akaongeza mwendo kasi zaidi mpaka walipo pata ajali hiyo maeneo ya Senjele kuelekea Tunduma. Habari kamili itakuja mpaka sasa kuna majeruhi 14 na mtu mmoja amefariki Dunia.

Hivi ndivyo inavyo onekana Damu na viti kuharibika vibaya baada ya ajali hiyo iliyo tokea jana usiku
Basi hilo likiwa limeharibika upande wa mbele kama inavyoonekana kioo cha mbele.
No comments:
Post a Comment