Monday, March 26, 2012

JAY MO, DUDU BAYA, AFANDE SELE, MCHIZI MOX NA NATURE WAPAGAWISHA VILIVYO USIKU WA ‘OLD IS GOLD’ DAR LIVE

Mchizi Mox akikamua katika onyesho hilo.

J. Mo (kushoto) na Mchizi Mox wakitoa burudani.

Dudu Baya akikamua na jimama "tentemente".

Mchizi Mox (kulia) akipiga stori na Sauda Mwilima wa Star TV.

Juma Nature (kushoto) na KR.

Afande Sele (kulia) na mshirika wake wakitoa burudani.

Suma G akipozi kupiga picha na mpenzi wake.






No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...