GLORIOUS CELEBRATION WAKIMTUMIKIA MUNGU NDANI YA THE ATRIUMS HOTEL SINZA SIKU YA IJUMAA.
WATU WALIBARIKIWA SANA.
Glorious Celebration ni kikundi kinachoimba za injili LIVE hapa Tanzania. Kila Ijumaa wanapatikana katika hotel ya the Atriums wakimtukuza Mungu. Ijumaa ijayo watakuwepo mahali hapo ambapo watapiga LIVE na kutakuwa mkesha wa kumtukuza Mungu. Hakutakuwa na kiingilio chochote.
Waimbaji wa Glorious Celebration wakimtumikia Mungu ndani ya The Atriums Hotel
Paul Tonex (aliyenyanyua mkono) akimwimbia Mungu
Mtalaamu wa Blogs, Website na Graphics Tanzania, Rulea Sanga akiingiza stories za Glorious Celebration katika hotel ya The Atriums Sinza Afrikasana.
No comments:
Post a Comment