Tuesday, January 17, 2012

SHABIKI WA ARSENAL AMWAGA CHOZI KWEUPE BAADA YA TIMU HIYO KUBUGIZWA MABAO

Shabiki wa timu ya Arsenal, akibugujikwa na machozi baada ya timu yake hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa timu changa katika anga ya Soka katika mchezo uliochezwa juzi, timu iliyopanda daraja vijana wa Wales Swansea.
Je mapenzi ya ushabiki kama huu wabongo tunao hadi katika timu zetu za nyumbani? Moyo wa aina hii katika ushabiki wa kweli unahitajika sana katika timu zetu za nyumbani na hasa timu yetu ya Taifa na si wale mashabiki wanaozomea pindi timu inapofanya vibaya na kuanza kushangilia timu pinzani, lakini ukiwa na mapenzi ya kweli kama huyu jamaa mambo hayo yote kamwe hayawezi kutokea ila utakuwa na moyo wa subira tu na kuipa moyo timu yako.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...