Friday, January 20, 2012

KWA UFAFANUZI HUU JE, KUNA HAJA YA HAKI SAWA KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME?

UKISOMA  kitabu cha Mwanzo 3:16, utaona kwamba adhabu ya dhambi aliyoifanya mwanamke (ya kulipeleleza, kulitilia mashaka na hatimaye KULIPUUZA agizo la Mungu) zilikuwa mbili; Moja, kuzidishiwa uchungu wa uzazi (adhabu ambayo bado mwanamke anaendelea kuitumikia hata anapookoka); Pili, kuwekwa chini ya MAMLAKA ya mwanamme.
Swali: Je, hizi harakati za usawa wa kijinsia zinazoendeshwa na wanawake wanaoliheshimu Neno la Mungu, zina uhalali wowote wa kimaandiko? Je, harakati hizi si jaribio jingine la mwanamke kujaribu KUIPUUZA adhabu halali ya Mungu?
Tujadiliane!

1 comment:

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...