Tuesday, August 2, 2016

YANGA NAO WANATAKIWA KUKUTANA WIKIENDI HII



Klabu ya Yanga imewakaribisha kwenye mkutano wanachama wake wikiendi hii siku ya Jumamosi ambapo watakutana kuzungumza masuala ya klabu yao wakiongozwa na mwenyekiti wao, Yusuf Manji.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...