Tuesday, February 2, 2016

HAPPY BIRTHDAY NICO, MUNGU AKUPE MAISHA MEMA NA YENYE BARAKA KATIKA SAFARI YAKO YA MAISHA!m

Mfanyakazi mwenzangu wa Global Publishers LTD, Nico wa kwanza kushoto asimamia zoezi la kukata keki iliyokuwa mahususi kwaajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya Klabu Maisha Basement usiku wa kuamkia leo.
Video Queen Bongo Kidoa Salum akimsaidia Nico kukata keki hiyo.
Kidoa akiwajibika kama mshehereshaji wa shughuli hiyo.
Afisa matukio wa Maisha Basement HK akilisha keki  Nico. 
Clarance Mlissa akilishwa keki.

















POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...