Monday, February 15, 2016

ANGALIA JINSI RUBY ALIVYOWAPAGAWISHA MASHABIKI ZAKE NDANI YA MAISHA BASEMENT

Ruby akiwaimbisha mashabiki zake.

USIKU wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake kwa msanii wa Bongo, Fleva Ruby, alipojumuika na mashabiki zake ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement Makumbusho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusherehekea kwa pamoja Siku ya Wapendanao yaani Valentine’s Day.
Meneja matukio wa Maisha Basement Hemedi Kavu 'HK', akiongea jambo kabla ya kuwakabidhi zawadi ya Valentine's Day mashabiki waliojitokeza jukwaani hapo.
POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...