Tuesday, April 28, 2015

NHIF YAZINDUA AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA UHAMASISHAJI MFUKO WA AFYA

1 Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa wilaya ya Kilwa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika katika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa mkoani Lindi Bi Fortunata Raymond.
11Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi wilaya ni Kilwa. 12Baadhi ya akina mama wakishindana kukuna nazi ambapo baada ya kumaliza zoezi hilo waliunganiswa katika huduma za CHF. 13Baadhi ya madaktari wakisubiri kuanza kutoa huduma katika uzinduzi huo. 14Wananchi wakipima uzito.
SOMA ZAIDI BOFYA KIDEVU MATUKIO

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...