Tuesday, April 7, 2015

Amber Rose alichopost kama ishara ya kutaka kurudiana na mume wake Wiz Khalifa

Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ameweka hadharani hisia zake za kutaka kurudiana na aliyekuwa mume wake rapa Wiz Khalifa na kusema kuwa yeye ndio kipenzi cha maisha yake na kwamba bado anampenda.
amber rose amber2

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...