Friday, March 6, 2015

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU KUPEWA ONYO NA KAMATI YA BUNGE


Mweka Hazina wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu Nicolaus Harabu  akijibu hoja mbele ya kamati ya hesabu za serikali ya mitaa LAAC ilipotembelea kukagua miradi mbalimbali ya Halmashauri hiyo.

Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa(LAAC) Azza Hamad akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wakati kamati hiyo ilipotembelea halmashauri kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.


Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za serikali za mitaa (LAAC) wakiwa katika eneo ilipojengwa shule ya sekondari Singland kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na nyumba ya mwalimu.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...