Thursday, September 11, 2014

Baada ya Kushindwa Mapenzi ya Diva na Chagga Barbie Prezzo Aamua Kutulia Kimapenzi na Mrembo Asiye na Umaarufu

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.

Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika: “My 1st & only #WCW #Rapcellency

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...