Moto ukiendelea kuwaka usiku wa kuamkia leo karibu na hostel za
wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chanzo cha moto huo hakijajulikana.
Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi usiku wa manane.

Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi usiku wa manane.
No comments:
Post a Comment