Saturday, March 1, 2014

LEO UBUNGO PLAZA HAPAKALIKI. WAIMBAJI 20 KUTUMBUIZA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA MESS JACOB CHENGULA YA MUNGU HABADILIKI

Siku ya leo ni balaa katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Waimbaji 20 kuvamia stage moja katika uzinduzi wa albamu moja ya mtu mmoja na mgeni rasmi mmoja

MHUSIKA WA TAMASHA
 Mess Jacob Chengula wa Mungu Habadiliki

ALBAMU INAYOZINDULIWA
Albamu ya Mungu Habadiliki ya Mess Jacob Chengula

ENEO LA UZINDUZI NI UBUNGO PLAZAKatika hotel ya Blue Pearl

MGENI RASMI WA TAMASHA HILI

Mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa mawasiliano Tanzania Mh Januari Makamba

WAIMBAJI WATAKAIMBA SIKU YA LEO JUMAPILI UBUNGO PLAZA

Rose Muhando

Masanja Mkandamizaji

Atosha Kissava

Bony Mwaitege

Upendo Nkone

Silas Mbise

Neema Gasper

Edson Mwasabwite

Madamu Ruti

Faraja Ntaboba

Bahati Bukuku

Mwanamapinduzi

Stella Joel


Enock

Miriamu Lukindo

Joshua Makondeko

VIINGILIO
VIPVITI VYA KAWAIDA


WATOTO


TANGAZO LIMETENGENEZWA NA RUMAFRICATembelea
www.messchengula.blogspot.com
www.rumaafrica.blogspot.com

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...