Tuesday, February 25, 2014

TASWIRA YA MH RAIS KIKWETE NDANI YA SARE ZA JESHI ENZI HIZOPichani ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya Sare zake za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kipindi hiko. Picha hii inatajwa kupigwa Mwanzoni mwa Miaka ya 80 wakati huo Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Jeshini. Picha ni kwa hisani kubwa ya Mdau wa Ukurasa aliyeko Mkuranga.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...