Monday, February 24, 2014

MWANAMUZIKI LADY J DEE APATWA NA MSIBA MZITO!!!

Pole sana dada Jide kwa kupotelewa na dada yako. Tupo pamoja
Kwawasiojua kuhusu kifo chake: Dada yake Super Star Lady J Dee amefariki Dunia jana. Asubuhi sana na msiba upo maeneo ya Jet.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...