Saturday, February 1, 2014

MAINDA ATIMKIA MOROGORO


 
STAA wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda',ameamua kuahamishia makazi yake mji kasoro Bahari Morogoro kwa muda na kulipisha jiji la Dar,ili kujipa nafasi ya kufanya kazi zake zaidi za sanaa ya filamu na kujiepusha na maneno ya hapo na pale kutoka kwa maadui zake,Mainda alitimkia mji kasoro bahari tangu jana na kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo....       maindasmallbabyAsante Mungu wangu.nimefika salama.morogomji kasoro bahari.....Mungu niongoze hizi siku nitakazo kuwa huku.nifanye kilichonileta salama.Amen

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...