Wednesday, January 15, 2014

HUKUMU YA KESI YA LIYUMBA KUSOMWA KESHO



Amatus Liyumba.
HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeahirishwa hadi kesho katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando baada ya leo kutokamilika.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...