Thursday, January 23, 2014

CHADEMA WALIVYOUNGURUMA RUVUMA,TABORAM4C- Operesheni Pamoja Daima ilivyotikisa leo mkoani Ruvuma- Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa akiwa na Mbunge Peter Msigwa.

Wananchi wakisikiliza mkutano huo

Dr Slaa akihutubia wakazi wa Ruvuma jana kwenye mkutano wa hadhara.


Mbunge wa Chadema,John Mnyika akihutubia wananchi wa Uyui Tabora mjini kwenye mkutano wao wa hadhara.M4C- Operesheni Pamoja Daima, mkutano wa Tabora mjini, Uyuwi, Timu ya Makamu Mkiti Zanzibar Said Issa Mohamed na John Mnyika

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...