Melissa Reid (kulia) na Michaella McCollum (nyuma) wakifikishwa mahakamani Lima, Peru baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya ‘cocaine’.
WASICHANA wawili, Melissa Reid na Michaella McCollum kutoka Uingereza,
wa kwanza akitoka Scotland na wa pili akitoka Ireland ya Kaskazini, wako
gerezani mjini Lima, Peru, wakitumikia kifungo cha miaka sita na miezi
minane baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege mjini humo wakiwa na
madawa ya kulevya aina ya ‘cocaine’ waliyokuwa wayasafirishe kwenda
Hispania.
Madawa hayo yalikuwa na thamani ya Paundi milioni 1.5 sawa na Sh. Bilioni 3.9 za Kitanzania. Wasichana hao wanaweza kupelekwa kwao kwenda kutumikia kifungo kilichobakia baada ya kutumikia miaka mitatu nchini Peru.
McCollum (wa pili kulia) wa Dungannon Ireland ya Kaskazini akiwa chini ya ulinzi.
Melissa Reid akishuka kwenye gari chini ya ulinzi.
Madawa waliyokamatwa nayo McCollum na Reid waliyokuwa wameyafunga kama vyakula yenye thamani ya Paundi milioni 1.5 sawa na Sh. Bilioni 3.9 za Kitanzania.

No comments:
Post a Comment