MTU mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye
pikipiki yake leo mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es
Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu
Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.
Kiberenge kikiwa kimeacha njia baada ya ajali.
Askari polisi akichukua maelezo kwa baadhi ya watu walioshuhudia ajali hiyo.
Wananchi wakiishangaa pikipiki katika eneo la tukio.

No comments:
Post a Comment