

Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal (kulia) akipokea zawadi ya Sahani iliyochorwa jina lake,kutoka kwa Muandaaji wa Maonyesho hayo ya Usiku wa Khanga za Kale,Mama Asia Idarous.


Muwakilishi wa Valey Spring akipokea cheti.

Mwanalibeneke Othman Michuzi,akipokea Cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi ikiwa ni cheti cha moja wadhamini wa Onyesho hilo.

Salma Msangi akipokea Cheti kwa niaba ya Radio Magic Fm na Channel 10 televisheni.

Dada Garina Ajmy akipokea Cheti kwa Niaba ya Clouds Media.

Mkurugenzi wa Magazeti ya Jambo Leo,Benny Kisaka.

DJ John Dilunga.

Mariam Ndabagenda.














Wanamitindo mbali mbali wakipita jukwaani kuonyesha mavazi mbali mbali yaliyobuniwa kwa kutumia Khanga,wakati wa Onyesho la Usiku wa Khanga za Kale.

Mama wa Mitindo,Asia Idarous akiwa na bintie jukwaani.
kutoka asilimia 8.0 za mwezi Septemba.
No comments:
Post a Comment