MISAA ya Arobaini ya Mwanamuziki Albert Mangweha
'Ngwair' aliyefariki Mei 28, 2013 nchini Afrika Kusini, inafanyika leo
nyumbani kwao Kihonda mkoani Morogoro. Arobaini hiyo inafanyika leo
ikiwa ni takribani miezi sita tangu kifo chake kwa utaratibu wa kabila
la Wangoni ambao hufanya arobaini za ndugu na jamaa katika ukoo kwa
utaratibu maalumu na leo ndiyo zamu ya Ngwair! Taarifa zaidi pamoja na
picha za tukio hilo zitawajia baadaye
No comments:
Post a Comment