MSANII wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ amepata pigo la kufiwa na dada yake, Salma Said aliyefariki juzi katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ibada ya mazishi na zoezi la kuaga mwili wa marehemu imefanyika katika kanisa la Wasabato, Mburahati na baadaye mwili kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni.
No comments:
Post a Comment