Wednesday, November 13, 2013

MH.LOWASSA ALAMBISHWA TUZO YA HESHIMA


Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha matibabu ya vidonda vya tumbo cha Rahabu Ulcers Clinic Centre, Dk. Rahabu Rubago (katikati) akimkabidhi Lowassa tuzo hiyo. Kulia ni Meneja Mkuu wa Kituo hicho Catherine Kahabi.

Kituo cha matibabu ya vidonda vya tumbo cha Rahabu Ulcers Clinic Centre cha jijini Dar es Salaam, kimemkabidhi tuzo ya heshima Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa kwa kutambua mchango wake mkubwa katika jamii.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...