Saturday, November 9, 2013

MAITI YAPASULIWA NA KUKUTWA NA KETE 64 ZA MADAWA YA KULEVYA JIJINI MBEYA




Kete inayosadikika kumuua kijana huyo baada ya
kupasukia tumboni.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari nje ya ofisi yake huku akiwa na baadhi ya Askari wa Jeshi hilo wa Mkoa wa Mbeya.
Pasi ya kusafiria alizokutwa nazo marehemu


Kete zilizokutwa tumboni mwa kijana huyo baada ya kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya Rufaa  Mbeya.


Kulia ni kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani, akiwa amevalia mavazi maalum, ya  chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya.

Maiti ya kijana Kassim Said Mboya ikiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa ya Mbeya baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa dawa zinazodhaniwa kuwa ni za kulevya.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...