
Kilimanjaro
Stars leo wameagwa rasmi katika Hoteli ya Tansoma, Jijini Dar tayari
kuelekea nchini Kenya kushiriki mashindano ya Chalenji yanayotarajiwa
kuanza siku ya Jumatano ya wiki hii. Kilimanjaro Stars wanaondoka leo
kuelekea nchini humo.
Mjumbe wa TFF Godfrey Nyange 'Kaburu'(kushoto) wa katikati ni kocha wa Kilimanjaro Stars Kim Poulsen na Katibu wa Baraza la Michezo Tanzania Henry Lihaya(kulia).
Nahodha wa timu ya Kilimanjaro Stars Kelvin Yondani (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo.
Wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars.



No comments:
Post a Comment