Monday, October 14, 2013

RAIS JK AWASILI IRINGA KWENYE MAADHIMISHO YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana.
(PICHA KWA HISANI YA  IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Vijana Iringa Mhe. Asas katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa mjini Mhe. Msigwa katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofanyika leo (Oktoba 14, 2013) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...