Saturday, September 28, 2013
LULU AWAONYESHA FURSA WAKAZI WA MWANZA LEO
Msanii wa Filamu Bongo,Lulu akiongea jambo na wakazi wa Mwanza kwenye Semina ya Kamata Fursa Twenzetu ndani ya Ukumbi wa Golden Crista mapema hii
Lulu akipokea pongezi kutoka kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.Steven Masele muda mfupi baada ya kushuka jukwaani kuzungumzia mambo ya Kamata Fursa Twenzetu
Naibu Waziri wa Madini, Mh. Stephen Masele akizungumza mada iliyohusu fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye nishati na madini ndani ya semina ya kamata fursa twendzetu,iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Gold Crest.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akimtambulisha mmiliki wa hotel kubwa ya kitalii hapa jijini Mwanza, Gold Crest, Bw. Mathias Erasto,ambaye pia ni mchimbaji mdogo wa madini, aliyajipatia fursa mbalimbali na kuzitumia ipasavyo na kufikia hapo alipo kimafanikio.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Mh.Yahaya Nawanda akizungumzia mada yake iliyohusu suala la ufugaji,hasa kuku wilayani mwake,ambapo pia amewataka vijana kuitumia fursa ya ufugaji wa aina yoyote katika suala zima la kujiletea maendeleo kwa namna moja ama nyingine badala ya kusubiri Serikali iwafanyie ama iwaletee kila kitu hapo walipo.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. Januari Makamba akizungumza kwenye mada yake iliyohusu masuala mbalimbali, kuhusiana na Fursa ya kuongeza thamani na kutengeneza jina, sambamba na fursa ya matumizi ya Teknolojia mbele ya maelfu ya vijana waliojitokeza kwa wingi mapema leo kwenye semina ya kamata fursa twendzzetu,iliyofanyika leo,ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza.
Sehemu ya wakazi wa mji wa Mwanza waliojitokeza kwa wingi mapema leo kwenye semina ya kamata fursa twendzetu,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo,ambapo mada mbalimbali zilikuwa zikizungumzwa.
Mmoja wa wasanii wa bongofleva, Nikki Wa Pili akizungumza kwenye semina ya kamata fursa twendzetu.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Maxcom inayouza bidhaa yake ijulikanayo kama Max Malipo, Bw. Juma Rajab akizungumzia kuhusiana na fursa ya bidhaa yake ya Max Malipo inavyoweza kuisadia jamii kwa namna moja ama nyingine.
Baadhi Washiriki wakifuatilia.
Mmoja wa waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini Elizabeth Michael "Lulu" akiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu,ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii,ambapo pia atazungumzia mambo kadhaa mbalimbali kwenye semina hiyo, ambayo itawakutanisha Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. Januari Makamba, Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini na watoa mada wengine mbalimbali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), Bi. Magreth Chacha alipokuwa akiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu, ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii.

Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia, Mh. Januari Makamba akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele (mwenye miwani) akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB),Bi.Magreth Chacha walipokuwa wakiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu, ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii,pichani kati ni Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group, Bw. Ruge Mutahaba.

Baadhi ya Wakazi wa mji wa Mwanza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu, ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii.
Sehemu ya meza kuu.

Friday, September 27, 2013
TIMU YA CHELSEA FC YATWAA KOMBE LA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA MWANZA
Meneja Vipindi wa
Clouds FM,Sebastian Maganga (kushoto),akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya
Chelsea ya Mabatini Mwanza jioni ya leo baada ya kuibuka kidedea kupitia
matuta.
TIMU ya mpira wa
miguu ya Chelsea FC ya Mabatini Mwanza, leo imefanikiwa kutwaa Kombe la
Serengeti Fiesta Soccer Bonanza lililokuwa likifanyika jioni ya leo katika uwanja
wa Polisi Mabatini,ambapo timu zaidi ya nane zilichuana na hatimaye kumpata
mshindi,aliyejinyakulia kikombe na kitita cha shilingi laki 3 kwa mshindi wa
kwanza huku mshindi wa pili akipewa kitita cha shilingi laki 2.
Nahodha wa timu
hiyo akiwa amenyanyua kombe juu na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo.
Baadhi ya mashabiki
wa timu ya Chelsea wakishangilia baada ya kushinda kwa njia ya matuta.
Mwakilishi wa Bia
ya Serengeti wa Mwanza Mwanza Joan Semuguruka (kushoto), akimkabidhi kitita cha
shilingi laki mbili Nahodha wa timu ya
FC Barcelona kama zawadi ya mshindi wa pili kwenye mpambano huo.
Joan
Semuguruka(kushoto),akimkabidhi kitita cha shilingi laki 3 Nahodha wa timu ya
Chelsea,huku akishuhudiwa na Meneja wa Vipindi vya Clouds FM, Sebastian Maganga
aliyesimama katikati yao.
Baadhi ya mashabiki
waliojitokeza uwanjani hapo wakishuhudia mpambano huo.
Timu ya Arsenal, ikipambana
na Timu ya FC Barcelona ya Mabatini katika moja ya mchezo wa Nusu
fainali,ambapo Barcelona iliibuka na ushindi na kutinga hatua ya Fainali.
Mmoja wa wachezaji
wa timu ya Real Madrid ya Kirumba, akipiga penalty kwenye mpambano wa kuwania
kufuzu hatua ya kuingia fainali ya mchezo huo, ambapo Real Madrid ilifukwa kwa
mkwaju na timu ya Chelsea.
Mtangazaji wa
Clouds FM, Anord Kayanda aliyesimama katikati ya mashabiki,akitangaza matokeo
ya mechi hizo kabla ya kufikiwa kwa hatua ya fainali.
Meneja wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian
Maganga,akiwamiminia Bia ya Serengeti baadhi ya mashabiki walifika kushuhudia
baadhi ya mechi zilizokuwa zikiendelea Kiwanjani hapo.
Kati ya mashabiki
waliohudhuria Kiwanjani hapo wakifatilia baadhi ya matukio yaliyokuwa yakijili
uwanjani hapo.
Subscribe to:
Posts (Atom)