Rais Barack Obama akikagua majeshi ya ulinzi na usalama.
Rais wa Marekani Barack Obama pamoja mkwewe wakilakiwa na mwenyeji wao Rais Jakaya Kikwete mara tu walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jana Jumatatu July 1, 2013 kwa ziara ya siku 2., kushoto ni mama Salma Kikwete.
Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam na baadaye akaongea na wanahabari..

Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam na baadaye akaongea na wanahabari..

No comments:
Post a Comment