Tuesday, July 16, 2013

MSANII IBRAHIM PAZI 'POSA' AFARIKI DUNIA.


Kushoto ni Marehemu Ibrahim Mohammed Pazi ‘Posa’ akiwa na msanii mwenzake enzi za uhai wake.

MSANII wa komedi nchini, Ibrahim Mohammed Pazi ‘Posa’ ameaga dunia jana katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Pichani juu ni baadhi ya taswira kutoka nyumbani kwa babu wa marehemu eneo la Manzese Tiptop jijini Dar es Salaam ulipo msiba.
Mke wa Marehemu akifika msibani.
  Mtoto wa marehemu mwenye miezi miwili akiwa amebebwa.
Sherry Maghari (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kukutana na ndugu wa marehemu ambaye alikuwa akiongozana naye hospitali.
Wasanii wakiomboleza nyumbani kwa babu wa marehemu Manzese Tiptop jijini Dar.
Sherry Maghari (wa pili kushoto) akiwa na simanzi. Sherry alimuuguza marehemu takribani mwezi mmoja.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...