Thursday, July 11, 2013

JOYCE KIRIA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


 Mtangazajiwa kipindi cha Wanawake live kupitia luninga ya EATV Joyce Kiria amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi siku ya Jana huko Tanga.
BABA MZAZI WA JOYCE KIRIA .. Michael Francis Lwambo Kiria wa Kibosho Dakau Nganyeni amefariki huko mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi. Na leo mtangazani huyo ameanza  safari ya kuelekea moshi kwa ajili ya taratibu za mazishi.
mateja 20  inawapa pole familia yote kwa kipindi hiki kigumu cha maombolezo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...