Friday, June 14, 2013

PICHA ZA MISS ISRAEL 2013 , MWANAMKE WA KWANZA MWENYE ASILI YA KIAFRICA KUCHUKUA TAJI HILO

 

Miss Israel 2013 Yityish Aynaw, mwenye asili ya Ethiopia mabaye amekuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Africa kushinda taji hilo
Yityish Aynaw, mwenye asili ya Ethiopia akiwa nafamilia yake baada tu ya kushinda Miss Israel Mwaka 2013
Yityish Aynaw, mwenye asili ya Ethiopia akiwa nafamilia yake baada tu ya kushinda Miss Israel Mwaka 2013
Hapa ni wakati akiwa jeshini Israeli

Yityish Aynaw, mwenye asili ya Ethiopia ambaye ndio Miss Israel 2013
Hapa akaiwa anasalimiana na Rais Barack Obama na Shimon Peres
Yityish Aynaw akiwa Studio
Yityish Aynaw akiwa Studio
Yityish Aynaw, mwenye asili ya Ethiopia akiwa nafamilia yake baada tu ya kushinda Miss Israel Mwaka 201
Yityish Aynaw, akiwa Kitaani Nchini Israeli


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...