Wednesday, June 12, 2013

PICHA ZA MAZISHI YA MSANII WA BONGO MOVIE ( KASHI ) ALIYEFARIKI JUZI



Msanii Kashi katika enzi za uhai wake
Pichani juu ni mazishi ya msanii ya mwigizaji Jaji Khamis ‘Kashi’ aliyefariki juzi mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar yaliyofanyika jana mchana majira ya saa nane kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Marehemu Kashi alikumbwa na umauti baada ya kuugua ghafla malaria na kifua. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Kashi mahali pema peponi. AMEN!









No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...