Sunday, June 16, 2013

PICHA YA MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASARIA AKIWA AMELAZWA HOSPITALI YA SELIAN BAADA YA KUFANYIWA VURUGU



Mbunge Nassari anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Selian Arusha baada ya kushambuliwa vikali na watu wenye marungu,sime ambapo ameumia kifua, shingo na Mgongo....alijinasua hapo baada ya kuwachomoka na kuonyesha silaha nakuweza kuondoka eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...