Wednesday, June 19, 2013

NYOTA WAZIRI AKWAA SKENDO YA USAGAJI MABINT CHINI YA MIAKA 18


                                                               Nyota Waziri
Mwimbaji nguli wa kundi la wana Njenje mwanamama Nyota Waziri amekwaa skendo ya usagaj,i inasemekana kwamba mwimbaji huyo anajihusisha na mapenzi ya jinsi moja kwa kuwarubuni wasichana walio chini ya umri wa miaka  18,Ishu hiyo imetengeneza kichwa cha habari katika mtandao wa kijamii  na kuleta mshtuko kwa baadhi ya wachangiaji wa mada hiyo ambapo mtoa mada amelalamika kwamba mwanamziki huyo amemrubuni mtoto wa dada yake na kumfanya abadilike kitabia.
 Yafuatayo ndio maelezo aliyotoa mlalamikaji huyo na baadhi ya maoni ya wachangiaji:
Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!
Ninafahamu kwamba unajihusisha kimapenzi na wanawake wenzako. Sina tatizo kuhusu hilo kwa sababu hayo ni maisha yako na starehe yako mwenyewe. but hili kuwarubuni dada zetu wadogo ambao bado ni watoto wa shule na kuwaingiza kwenye usagaji sikubaliani nalo hata kidogo....

Unatumia vihela vyako kidogo ambavyo vingine unahongwa na yule mwanamke wako wa Ilala kuwarubuni wadogo zetu wa kike! Hapana hii haikubaliki hata kidogo! Inaniuma sana kwa sababu mmoja kati ya mabinti unao waharibu ni mtoto wa dada yangu and she is under 18 years old!

Umemfanya amekuwa mtu wa ajabu ajabu! Hivi wewe ungesikiaje kama binti yako ambaye yupo under 18 tena mwanafunzi angefanyiwa hivyo? Hivi nia yako ni nini haswa? Unataka kuwaambukiza magonjwa au? Tume piga huyo mpwa wetu hadi tumechoka, yote kwa sababu yako...Tafadhali,watu wa habari hebu mfuatilieni huyu mwanamke asiendelee kuwaharibu binti zetu..

Serikali inapaswa kuanza kuwachukulia hatua wanawake watu wazima wanao warubuni mabnti wadogo/wanafunzi kuingia kwenye usagaji. Sheria ya SOSPA 1998 inapaswa kufanyiwa marekebisho, haraka iwezekianavyo.

  1. Default re: Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

    Hilo jimama ni baya sana haliridhiki na Wanaume maana anaenda kotekote ndio maana Mumewe kamuacha, Nashauri andaeni mtego wa muda mrefu huyo binti yenu mumfuatilie nyendo zake, ipo siku mtamkamata tu.

    Default re: Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

    Quote By Azote View Post
    huyo si huwa kungwi sijui somo?sasa huwa anafunda nini wakati na yeye ni gay.

    Mkuu ni LESBIAN siyo GAY!
    Quote By MAJIDAI View Post
    wamekwisha achana toka enzi za pontio wa pilato
    Anhaaa....uyo anatakiwa apigwe fiesta till death

    Default re: Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

    Makubwa haya sasa

    Default re: Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

    duuu kweli dunia inaelekea mwisho
  2. Default re: Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

    Mwendeeni kwa babu.
    complains always hide opportunity
  3. Default re: Dada Nyota Waziri acha kuwaharibu dada zetu!

    Quote By Kafman View Post
    Ushauri: nenda kamlipoti Polisi haraka sana na kama huyo ndugu yako atakuwa tayari kutoa ushaid itakuwa vyema zaidi. Tabia kama hiz si za kulalamika na kufumbia macho bali sheria ichukue mkondo wake!
    Quote By MAJIDAI View Post
    Polisi hatuwezi kwenda kwa sababu sheria haituruhusu kufanya hivyo. Ili tuweze kumshitaki ni lazima kwanza huyu binti akiri kuwa mwanamke huwa anamsaga bila ridhaa yake, hapo ndo tunaweza kumpeleka polisi na atashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia huyo binti ( Under SECTION 138A of The Penal Code ) na sio kwa kosa la kusagana kwani sheria ya makosa ya Jinai ya Tanzania bara imekaa kimya kuhusu usagaji.. Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba huyu binti hatupi ushirikiano coz amekuwa hypnotized na Nyota, so hata tukimpeleka polisi hawezi kkubali, atakataa, sijui amempa kitu gani
    Achana na ushauri wa hawa manamba ambao hawajui hata kuandika kiswahili sahihi, eti kalipoti (karipoti)! Matatizo ya ki-mzuka hushughulikiwa kwa namna ya mzuka! Akili kichwani, sitamwaga mchele.....

    Default

    Kwani gay hajui mapenzi?wako njema kunako tukio
    Quote By Azote View Post
    huyo si huwa kungwi sijui somo?sasa huwa anafunda nini wakati na yeye ni gay.

    Default re: Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

    Anaonekana innocent kweli. Au mnamsingizia? Natania. Ila nasikia kwenye kile kikosi cha njenje, hakuna mwema pale. Wasije wakamharibu binamu.
    sorce jamii forum

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...