Thursday, June 6, 2013

MAELFU WAMUAGA MANGWEHA MKOANI MORO


Afande Sele akiongea machache wakati wa zoezi la kuaga mwili wa Mangweha.

Umati wa watu waliofika uwanjani hapo.

Mwili wa marehemu Mangweha ukiwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Moro.

Wananchi wakisubiri kwenda kumuaga Mangweha.

Watu wakiaga mwili wa Marehemu albert mangwea uwanja wa Jamhuri morogoro
sorce:global publishers

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...