Friday, June 14, 2013

KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMEKUFA HUKO MAGOMENI


Mwili wa mtoto ukiwa umetupwa

Wakazi wakishuudia mototo mchanga akiwa ametupwa na kufariki dunia katika eneo hilo na mtu asiyefaamika.


Askari polisi wa kituo cha magomeni usalama wakiwa katika eneo ambalo ametupwa mototo mchanga akiwa amefariki kwa ajili yakumchukua kumpeleka sehemu husika
Wakazi wa eneo la magomeni zilipovunjwa nyumba za( KOTA) jijini Dar es salaam l wakishuudia mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja akiwa ametupwa na kufariki dunia katika eneo hilo na mtu asiyefaamika.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...