Tuesday, June 18, 2013

HIVI NDIYO LANGA ALIVYOAGWA NA KUZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JANA.


Dr Cheni akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Langa
 
Jana ilikuwa siku ya kumpumzisha marehemu msanii wa Hip-Hop kutoka Bongo (Tanzania), LANGA Kileo a.k.a Langa … Alifariki Tarehe 13 mwezi huu katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa akiugua na kulazwa …
Langa alizikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambako kulihundhuriwa na umati wa watu waliokumbwa na majonzi makubwa sana …
Tazama picha za baadhi ya ndugu, jamaa, wanamuziki, marafiki n.k. katika mazishi yake …

Dj Choka nae alikuwepo kutoa heshima za mwisho

Lady Jay dee akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Langa
Jokate nae alikuwepo

Sauda Mwilima nae alikuwepo

Adam Mchomvu nae alikuwepo

Kala Jeremiah akitoa heshima za mwisho

Ibada ikiendelea makaburuni
umati wa watu uliofurika makaburini











No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...