Monday, June 3, 2013

HIVI NDIVYO WATANZANIA WAISHIO SOUTH AFRICA WALIVYOUAGA MWILI WA MANGWEA


Jeneza lililobeba mwili wa mpendwa wetu Albeth Mangwea

Watanzania waishio nchini South Africa, wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa mwanamuziki ALBERT MANGWEA aliyefariki nchini humo … …

Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili kesho jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi …
Pumzika kwa Amani: Albert Mangweha.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...