Wednesday, June 5, 2013

HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU ALBERT MANGWEA ZAANZA KUTOLEWA.


Hivi ndivyo ndugu yetu mpendwa ametangulia mbele za haki na sasa ule muda wa kutoa heshima za mwisho ndo umewadia. Mungu awape nguvu wale wote waliofikwa na msiba huu.



Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho


Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa tayari kutoa msaada pale itakapohitajika


Baadhi ya ma super star wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.

Diamond Platnumz akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Albert Mangwea kutoa heshima zake za mwisho. Kupita instagram ameandika "Hakika ni pengo Kubwa.... R.I.P Brother"

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...