Saturday, May 18, 2013

Taarifa ya Beyonce Kuwa ana MIMBA Nyingine za Thibitishwa kuwa Ni kweli



Jay-Z, Beyonce

Habari za zilizoenea kwanye mitandao kuwa Beyonce kuwa ana mimba ya mtoto wa pili, Zimekuwa ni kweli baanda ya E News kutoa habari kuwa Beyonce Na Mume wake Jay-Z wanataraji kuwa na motto wa pili. Ambayo ita mplekea mtoto wao Blue Ivy kuwa big Sister.
Ruma hizo zilianza baada ya Beyonce kupita kwenye RedCarpet ya Met Gala baada ya kuvaa vazi la Givenchy, ambalo limuonyesha vizuri tumbo lake, lilivyo jaa juu ya kiuno. Lakini ilikuwa kazi kidogo kuwa ni kweli ni mjazito. Ruma zilianza tena siku ya Jumanne kuwa anamimba baada ya kushindwa kuperform show yake Mrs Carter nchini Belgium. Baada ya kushauriwa na daktari wake kuwa ampumzike kwa ajili ya afya yake pamoja na mwili wake kutokana na uchovu mkubwa alikuwa nao.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...