Saturday, May 18, 2013

Nuorah kufunga ndoa June 8 mwaka huu



Rapper wa kundi la Chemba Squad, Haji Nurah aka Babastylz anatarajia kuisaliti kambi ya makapera June 8 mwaka huu atakapofunga ndoa.

Nurah ameiambia blog kuwa harusi yake imepangwa kufanyika mkoani Shinyanga anakotokea na huku mke wake mtarajiwa akitokea Korogwe, Tanga. Akizungumzia kama harusi yake itakuwa na show mbili tatu za wasanii, Noorah amesema amepanga kufunga ndoa kama mtu wa kawaida.

Kila lakheri Noorah.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...