
Ukiwa haujapita hata mwezi mmoja baada ya kubainika kuwa kampuni ya Vodacom imemteua hitmaker wa ‘Kama Zamani’ Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kama balozi wake, kampuni ya Samsung nayo imemteua kuwa balozi wa simu ya Samsung Galaxy 4.
Hafla ya kumtangaza Mwana FA kama balozi wa simu hizo zinazoshikilia nafasi ya pili kwa kuuza zaidi duniani baada ya simu za iphone, ilifanyika jana jijini Dar es Salaam. Pia Mwana FA alikabidhiwa Samsung Galaxy 4 yake na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar.
No comments:
Post a Comment