Miss
World Tanzania 2012 Lisa Jensen ambae ana sifa nyingi za uzuri, ikiwa ni
pamoja na sauti tamu inayoweza kukuamsha usingizi (kama ukipata bahati
ya kumsikia akiongea) hivi sasa ni mjauzito wa miezi 6 na zaidi.
Akizungumza kwenye segment maarufu ya U Heard katika XXL ya Clouds Fm, Lisa amemtaja baba kijacho the lucky guy kwa jina la Abeid, lakini the most questionable part ameonekana kutokuwa na uhakika wa kuwa na familia na mpenzi wake huyo ambaye anahusika na ujauzito wake kutokana na sababu kadhaa ikiwemo uwoga wa kusalitiwa. “I kinda have a phobia hahaha about marriage, it is just a scary thing I mean thinking about marriage, seeing how people cheat in the marriage you know its its, kinda its kinda, its kinda like sad”. Alisema Lisa Jensen Akaendelea kusema “ Imagine you are already commited like in the marriage and then this person is cheating on you continuously and then you are like till death do us apart? No way, so let’s see how it goes I am not sure when we gonna get married, I am not sure if we ever gonna get married but time is everything time will tell if we will ever gonna get married or not” alifunguka Lisa. Moja ya swali la njia panda lililotolewa jibu la njia panda aliloulizwa ni hili…. Gossip Cop: Kwa haraka haraka umewahi kutoa mimba kama ngapi hivi? Lisa Jensen: mi naenda kukujibu hili swali kwa point moja au ngapi, Tanzania hairuhusu kufanya abortion,kwahiyo hata kama mtu kafanya abortion ukimuuliza kwamba have you ever done abortion atakwambia noo no I have never done that au atakwambia no I had a miscarriage so I think nobody can ever be true to that question, who wants to say that ‘yes I have done abortion’ afu kesho yake unaskia unagongewa ndi ndi ndi you are a murderer, so maybe you can say maybe I never got pregnant before or maybe I got pregnant before so that’s kinda secret, seal
No comments:
Post a Comment